Sunday, November 22, 2015

HAPO ZAMANI ZA KALE... (Sehemu ya kwanza)

AFRIKA ZAMANI
Hapo zamani za kale, zamani sana kitambo nizaliwe mimi... labda hukuwepo pia wewe, 
Mababu zetu waliishi vyema, wakishauriana kuhusu kila jambo ambalo wangetekeleza kama jamii. Nafurahia kwa namna ambayo majukumu yalitekelezwa kwa umoja na ushirikiano mkubwa wa kijamii. 

Nilipokuwa nikivisoma vitabu vya hadithi za kale, kuna baadhi ya mambo ambayo yalijitokeza wazi kila niliposoma vitabu vilivyotungwa na waandishi kuhusu matukio na jamii ya mwanzoni mwa Afrika, niliweza kufahamu kuwa UPENDO NA USHIRIKIANO WA KIJAMII ndio uliokuwa haswa kioo cha jamii. 
Tunzo za kale zilishamiri mafunzo kwa msomaji kiasi cha kwamba ungeweza kufaidika kama msomaji kunukuu baadhi ya maneno aliyotumia mwandishi ukayatumia kujijenga binafsi. Aidha, msomaji angewza kujifunza kuhusu maudhui yaliyolengwa vyema na mtunzi wa makala, kwa mfano Mwandishi angelenga kuandika kuhusu nidhamu, tamaduni, bidii, ukulima n.k, Maudhui haya yangejitokeza vyema katika fasihi ili kumnufaisha msomaji.

Mbali na kupitia mbinu ya FASIHI ANDISHI, mbinu nyingine ambayo ilitumika vyema sana nyakati za utoto wetu ni mbinu ya FASIHI SIMULIZI. Mbinu hii haswa iliwafaidi watoto ambao kwa kiwango fulani hawangeweza/hawakuwa na ule uwezo wa kutumia fasihi andishi,
Katika fasihi hii, wazee katika familia wakiwemo mababu pamoja na Mabibi(Nyanya) waliwakusanya vizazi vyao wakawahadithia hadithi za kale.
Watoto Wakihadithiwa hadithi za kale-Afrika

Hadithi ambazo mababu zetu walihadithiwa na watangulizi wao, nao wakazipitisha hadi kwa wanao na hatimaye kwa vizazi vingine vichanga. Katika hadithi hizi, mawaidha yalipeanwa kuhusu jinsi mwana anastahili kujiheshimu na kutekeleza majukumu ya jamii.
Kwa mfano, mtoto wa kike angefunzwa majukumu ya kike, kila siku jioni wakati wa maandalizi ya chakula cha jioni kule jikoni, Mama/Nyanya/Shangazi angewakusanya watoto wasichana akaketi nao jikoni na kuwafunza baadhi ya mambo ya kike wanapoandaa chakula kwa jamii. Mfumo huu uliwafaa sana kwa kuwa ulikuwa mtindo wa kuwalea  watoto na kuwapa maandalizi ya siku za usoni.

Kwa upande mwingine, Babu/Baba/Mjomba angewakusanya watoto wa jinsia ya kiume, wakaketi nje, chini ya mti, wakawasha mtoto na kuketi kandokando wakahadithiwa hadithi za kale. Mara nyingi hadithi hizi zilikuwa za kishujaa na kuonyesha jinsi mtoto wa kiume alivyokuwa ngome katika kuilinda jamii wakati wa vamizi.. 
Uvamizi wakati ule haukuwa wa Bunduki wala mabomu, watu walijifunza kujikinga na kuikinga familia kutokana na uvamizi wa Majitu na wanyama wa mwituni kama vile Fisi  ambao walivamia na kuwala mifugo wa jamii.
FISI-Wanyama waliowavamia na kuwala mifugo katika jamii

Mtoto wa kike alifunzwa mambo mengi yaliyohusu kuilinda jamii mbali na kuwa mwazo wa kuendeleza uzao wa familia.
Mafunzo haya yaliwafaa wanajamii kwa kiasi kikubwa kwamba jamii ilikuwa na watu ambao walikuwa watiifu wakazingatia itikadi za jamii na kufuata mila za jamii.

Natamani kuwa na Afrika ya zamani, Afrika ambayo tuliishi kwa undugu, hatukujua kabila wala dini
Natamani...

Na William Khaemba
Mwanahabari-Mbunifu
Barua pepe      : khaemba80@gmail.com
Facebook         : William Khaemba
Google             : +William Khaemba 
Twitter             : @Khaemba_KE
Mobile              : +2547-17-213-561

Thursday, November 19, 2015

MY LETTER TO ALL POLITICIANS....


 
[AUTHOR.]
Dear arrogant politicians
Today I write to you, I know you will read this message. However, I am sure you will ignore or even come in storm against me. It’s time you realized that I am tired! Being a media personality, I will not give you my MIC when you attend to political rallies, Sitawaruhusu mtemee mate MIC zetu za studio...
I will not allow my newsroom Professional Camera to cover your Insightful and dirty images. You mouths are filled with TRIBAL, INSIGHTFUL, & HATE messages. Gatundu South MP Moses Kuria, Nairobi ODM Chairperson George Aladwa, Machakos Senator Johnstone Muthama Nairobi Senator Mike Sonko. Kiambu Governor Hon. William Kabogo Gitau Political analyst Mutahi Ngunyi - Wiseman (unwiseman),This are just but a few who I can mention.
Sijui nani aliwalaani, mpaka maombi mnaharibu!! Matamshi yenu hayana ladha kabisa! Ninachobaki nikijiuliza ni iwapo tunayo

NOT YET UHURU FOR KENYA

PRESIDENT UHURU KENYATTA  & DEPUTY PRESIDENT WILLIAM RUTO
Today I write this to speak out my mind. A true leader does not determine for how long he/she has to be on the throne, this is left to the people to speak out their voices on whether a leader deserves another candle to blow or not.
It won't be a surprise by any chance to write down a name of my nation leader in the dark history of political leaders who arrogantly ignored the voices of the people and instead forced their way in office, maybe to cover up for the evils they did to the country.
Will justice prevail to

Wednesday, November 18, 2015

GOD APPEARS TO PRESIDENT UHURU KENYATTA AND DEPUTY PRESIDENT WILLIAM RUTO


Arts By Gado- [Godfrey Mwampembwa]
A Senior Catholic Priest In Kenya Was Dying In
His Hospital Bed And Before His Death He Asked To See Uhuru Kenyatta And William Ruto. Within Hours, The Two Arrived.